Перейти к содержимому

MLEZI AU MZAZI MWENYE BINTI ANAYETAMANI UTAWA TAARIFA HII MUHIMU ISIKUPITE - MABINTI WA MARIA KUZURI

AMINIFU TV

0:00 / 0:00

MLEZI AU MZAZI MWENYE BINTI ANAYETAMANI UTAWA TAARIFA HII MUHIMU ISIKUPITE - MABINTI WA MARIA KUZURI

1 171 просмотр · 2 года назад
AMINIFU TV
3,65 тыс. подписчиков
1 171 просмотр · 2 года назад
Wapo Mabinti wengi wanaojisikia wito wa kuwa Watawa lakini pengine hawajui wamuulize nani awape taarifa sahihi, Aminifu Tv imekuletea taarifa hii kutoka kwa Shirika la Mabinti wa Maria lenye Makao yake makuu huko Kipalapala Jimbo Kuu Katoliki Tabora. Isikupite na uwiwe kuwataarifa Wasichana wote watamanio Maisha ya Wakfu kuwa Watawa hata kama kwa mashirika mengine zaidi ya hili la Mabinti wa Maria