Перейти к содержимому

🚨Siri ya Kuyaelewa Mambo ya Siri (Wanafikara wa Kiroho–Utangulizi)

𝗙𝗿𝗲𝗱 𝗠𝗮

0:00 / 0:00

🚨Siri ya Kuyaelewa Mambo ya Siri (Wanafikara wa Kiroho–Utangulizi)

75 просмотров · 3 мес. назад
𝗙𝗿𝗲𝗱 𝗠𝗮
747 подписчиков
75 просмотров · 3 мес. назад
Karibu ujipatie Kitabu cha WANAFIKARA WA KIROHO: Maswali 5 ya Msingi wa Mwanadamu. Maswali hayo 5 ya msingi wa Mwanadamu ni: 1.Wewe ni wa Nani?–Swali hili linatafuta asili yako ama chimbuko lako ni nani na unatoka wapi au kwa nani? 2.Wewe ni Nani? –Swali hili linatafuta kujitambua kwako na utambulisho wako. 3.Wewe ni Nini? –Swali hili lina kazi ya kukupatia uelewa wa umebeba nini katika wewe sanjari na umuhimu wako hapa duniani walau ni nini? Je,una umuhimu wowote? 4.Wewe ni wa Nini? –Swali hili linafukunyua ukweli wa wewe umekuja duniani kwa shabaha gani? Ni swali linalotaka kujua impakti yako hapa duniani ni nini? Una impakti yoyote? 5.Wewe unaenda kwa Nani? –Ni swali linalotupatia nuru kwamba kwanza,ni kweli hatuko hapa duniani milele yote. Na pili; mara baada ya kumaliza hija yetu hapa duniani,tutaenda wapi na kwa nani? Tarehe ya Uzinduzi: Desemba 21,2026. Mahala: Zoom/ Google Meet. Jiunge kwenye Group la watu wanaosubiria Kitabu cha WANAFIKARA WA KIROHO: Maswali 5 ya Msingi wa Mwanadamu.👇👇 https://chat.whatsapp.com/Jc1ufwC0M7Q...