UFUMAJI WA KOFIA NI UJUZI ADIMU UNAOLIPA -ZU COMMUNITY VOICES IPO TENA MAKUNDUCHI NA AKINA MAMA HAWA
ZU TV ZANZIBAR
0:00 / 0:00
UFUMAJI WA KOFIA NI UJUZI ADIMU UNAOLIPA -ZU COMMUNITY VOICES IPO TENA MAKUNDUCHI NA AKINA MAMA HAWA
88 просмотров · 9 дней назад
ZU TV ZANZIBAR
767 подписчиков
88 просмотров · 9 дней назад
Ufumaji (knitting) wa kofia za Kizanzibari (Kiuwa) ni moja wa ujuzi adimu uliobakia katika utamduni wa watu wa Zanzibar. Elimu inahitajika katika kila jambo la kazi au amali na kwa msingi huu, mama huyu anzungumzia umuhim wa Elimu hata kama haitakusaidia kupata ajira rasmi, bado unaweza kujiajiri na kupata kipato muhim. Hii ni Community Voices, Sauti ya watu, chuo cha Watu - Zanzibar University.