NIKAHA S01 EPISODE 2 (2025)
Ukoo Media Films
0:00 / 0:00
NIKAHA S01 EPISODE 2 (2025)
5 123 просмотра · 1 год назад
Ukoo Media Films
1,12 тыс. подписчиков
5 123 просмотра · 1 год назад
Majini kuwahangaisha wanadamu sio amri ya Allah bali Allah amewaumba wanadamu pamoja na majini kwa ajili ya kumuabudu yeye.
Tamthilia hii inamhusu Mayah binti mrembo aliyefunga ndoa na jini mwezi mtukufu wa ramadhan bila ridhaa yake. Je Mayah pamoja na familia yake wataweza kuukwepa mtiani huu pamoja na vitimbi vya majini? Usiache kufuatilia tamthilia hii kutoka kwa Ukoo Media Films.