#TBC1 WEKEZA TANZANIA: KUMEKUCHA KIWANDA CHA ALIZETI MBOZI MKOANI SONGWE
TBConline
0:00 / 0:00
#TBC1 WEKEZA TANZANIA: KUMEKUCHA KIWANDA CHA ALIZETI MBOZI MKOANI SONGWE
1 597 просмотров · 4 года назад
TBConline
525 тыс. подписчиков
1 597 просмотров · 4 года назад
Katika kipindi hiki cha Wekeza Tanzania tunaangazia Juhudi za uwekezaji zinazofanywa na wazawa, ambapo wilayani MBOZI Mkoani SONGWE Alinanuswe Kabungo amewekeza kwenye kiwanda cha kuzalisha mafuta ya Alizeti yenye hadhi ya kimataifa.
Mtangazaji: Vumilia Mwasha
Mtayarishaji: Neligwa Mugittu
Mdhamini: Azania Bank