MAJUTO NI MJUKUU-PART 3: Zena Anavuka mpaka Ndoa yamshinda na kuanza Usaliti
DONATI SIMULIZI
0:00 / 0:00
MAJUTO NI MJUKUU-PART 3: Zena Anavuka mpaka Ndoa yamshinda na kuanza Usaliti
10 387 просмотров · 21 ч назад
DONATI SIMULIZI
1,49 тыс. подписчиков
10 387 просмотров · 21 ч назад
Karibu tena kwenye mwendelezo wa tamthilia yetu pendwa na yenye kusisimua ya "MAJUTO NI MJUKUU"!
Katika sehemu hii ya leo, mambo yanazidi kuwa mazito pande zote mbili. Wakati Neema na Kelvin wakifurahia siku yao kubwa ya ndoa iliyojaa ubarikiwa na utulivu wa aina yake ukumbini, upande wa pili mambo ni moto! Zena anazidi kuzama kwenye mtego wa Jacob huku akianza mpango wake wa hatari wa kugushi hati miliki za mumewe Juma ili auze mali na kufuata anasa za duniani. Je, Juma atagundua nini?
Usisahau kusubscribe, kulike, na kuacha maoni yako hapa chini kutujulisha unajifunza nini kupitia tukio hili!
🔔 Bonyeza alama ya kengele usipitishwe na sehemu inayofuata!
#MajutoNiMjukuu #TamthiliaYaKiswahili #BongoMovies #SwahiliStories #MahabaYaKweli #Usaliti #Huba #YouTubeTanzania#donatisimulizi#zenananeema#fitinayandoa