Перейти к содержимому

Wakazi Bahi Dodoma Waibua Mapya Ujenzi wa Daraja, Waeleza Hofu ya Kukamatwa kwa Kusema Ukweli

The Chanzo

0:00 / 0:00

Wakazi Bahi Dodoma Waibua Mapya Ujenzi wa Daraja, Waeleza Hofu ya Kukamatwa kwa Kusema Ukweli

107 просмотров · 13 часов назад
The Chanzo
262 тыс. подписчиков
107 просмотров · 13 часов назад
Dodoma: Wananchi wa Kijiji cha Mpinga wilayani Bahi mkoani Dodoma, wamelalamikia kutokamilika kwa ujenzi wa daraja linalounganisha kijiji hicho na Kigwe, wakieleza kuwa hali hiyo inatishia usalama wao kuelekea msimu wa mvua za El Niño. Mwenyekiti wa Kijiji cha Mpinga, Hezron Mbeho akiongea Oktoba 12, 2026 kwa njia ya simu amesema, ujenzi wa daraja hilo ulianza mwaka 2025 baadaye ulisimama, licha ya kufikia asilimia 98 ya utekelezaji. Kwa upande wa Meneja wa TARURA wilayani Bahi, Mhandisi John Maarifa amesema, ujenzi wa daraja la Kigwe-Mpinga umeingizwa katika bajeti ya mwaka huu wa fedha, na kwa sasa utekelezaji wake uko katika hatua za manunuzi na mkandarasi atakapopatikana atapelekwa eneo hilo kuendelea na kazi. Imeandaliwa na Jackline Kuwanda. Unaweza kutufuatilia kupitia; TWITTER:   / thechanzo   INSTAGRAM:   / thechanzo   FACEBOOK:   / thechanzo   TIKTOK: https://www.tiktok.com/@thechanzo?is_... Au tembelea tovuti yetu: https://www.thechanzo.com Kutuunga mkono: https://thechanzo.com/support/ Je, una habari? wasiliana nasi kupitia Telegram/WhatsApp +255 753 815 105 The Chanzo 2026 © All Rights Reserved.