MAISHA YA DOGO OYA KIJIJINI: FUNZA NA UMASKINI VYAMFANYA ASISOME, SASA NI MSANII WA MUZIKI
Millard Ayo
0:00 / 0:00
MAISHA YA DOGO OYA KIJIJINI: FUNZA NA UMASKINI VYAMFANYA ASISOME, SASA NI MSANII WA MUZIKI
20 568 просмотров · 1 дн. назад
Millard Ayo
6,22 млн подписчиков
20 568 просмотров · 1 дн. назад
Muhoya Rwina, mwenye umri wa miaka 10 mkazi wa Kijiji cha Heru Juu wilayani Kasulu mkaoni Kigoma, hajawahi kwenda shule kutokana na hali ngumu ya maisha. Anaishi na babu yake huku akikabiliwa na changamoto za chakula, mavazi na afya, lakini ndoto yake kubwa ni kupata elimu na kutumia kipaji chake cha muziki kubadilisha maisha yake.
Mawasiliano +25567142925, Ally Ismail ( Airtel Money)