Ibada ya Jumapili | Pastors Peter & Abby Chagula
Keys of Christ Church
0:00 / 0:00
Ibada ya Jumapili | Pastors Peter & Abby Chagula
39 просмотров · Трансляция закончилась 1 г. назад
Keys of Christ Church
905 подписчиков
39 просмотров · Трансляция закончилась 1 г. назад
Karibu kufuatilia Ibada ya Moja kwa Moja
Inayorushwa kutoka Kanisa la Keys of Christ, lililopo Kigamboni – Ungindoni, Kenan Street, chini ya uongozi wa Mtumishi wa Mungu Pastor Peter & Abby Chagula.
Ibada hii inapatikana moja kwa moja kupitia:
📻 Fungua Radio Online (https://onlineradiobox.com/tz/fungua/)
📱 Facebook Live: Pastor Peter Chagula
Katika ibada hii, tarajia:
✅ Kufunguliwa
✅ Kupokea uponyaji
✅ Kukombolewa
✅ Kubarikiwa wewe na familia yako
Kupitia mafundisho ya Neno la Mungu na maombi ya kiroho, yote katika jina la Yesu Kristo.
Kwa Maombi, Ushauri au Kutuma Sadaka:
📞 Vodacom: 0754 752 550 (Jina: Chagula Mwita)
💬 WhatsApp: +255 754 752 550
Mungu akubariki sana!
#Ibada #Maombi #Mafundisho #KeysOfChrist