Перейти к содержимому

ULINZI WAIMARISHWA MWANZA KUELEKEA HARUSI YA ISAYA YUNGE NA CHARLENE RUTO

Millard Ayo

0:00 / 0:00

ULINZI WAIMARISHWA MWANZA KUELEKEA HARUSI YA ISAYA YUNGE NA CHARLENE RUTO

9 030 просмотров · 5 ч назад
Millard Ayo
6,24 млн подписчиков
9 030 просмотров · 5 ч назад
Jeshi la Polisi Mkoa wa Mwanza limeimarisha ulinzi na usalama kuelekea na wakati wote wa sherehe ya harus ya Ndugu Isaya Yunge na Bi. Charlene Ruto, inayotarajiwa kufanvika Novemba 6, 2026, katika Hoteli ya Malaika Beach Resort Jiini Mwanza. Akitoa taarifa kwa umma kupitia waandishi wa habari Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mwanza, (DCP) Wilbrod Mutafungwa, ameeleza kuwa shughuli hivo takayohudhuriwa na viongozi wa kitaifa, kimataifa na wageni mbalimbali kutoka ndani na nie ya nchi mewekewa mifumo thabiti ya kiusalama ili kuhakikisha nafanyika katika hali ya amani, utulivu na usalama. Mutafungwa amebainisha kuwa Jeshi la Polis imeimarisha doria katika maeneo yote ya nchi kavu noteli zitakazotumiwa na wageni, pamoja na kuimarisha doria za boti katika Ziwa Victoria na maeneo mengine yote ili kuhakikisha usalama wa watu na mali zao. Aidha, amefafanua kuwa kutakuwa na matumizi makubwa va barabara kuanzia leo na kesho, hususan Barabara va Makongoro, barabara inayotoka Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Mwanza kuelekea katikati ya jiji pamoja na niia za kuelekea Malaika Beach Resort, uwanja wa ndege na Barabara ya Nyerere