Kwaya ya Sinai #Tunashukuru (Official video 4HD)
KWAYA YA SINAI_BAGAMOYO
0:00 / 0:00
Kwaya ya Sinai #Tunashukuru (Official video 4HD)
299 просмотров · 5 месяцев назад
KWAYA YA SINAI_BAGAMOYO
43 подписчика
299 просмотров · 5 месяцев назад
Karibu kutazama wimbo wetu wa TUNASHUKURU ambao unarudisha sifa na utukufu kwa Mungu kwa yale ametufanyia sisi kama Jumuiya au Zone ya Sinai hadi kufika hapa.
Tunamaini hata wewe unayo mengi ya kumshukuru Mungu, kupitia wimbo huu mshukuru Mungu yale aliyokutendea kwenye maisha yako