Перейти к содержимому

Jdd-Maneno(Viseualizer)

Jdd Tena

0:00 / 0:00

Jdd-Maneno(Viseualizer)

1 387 просмотров · 7 мес. назад
Jdd Tena
1,85 тыс. подписчиков
1 387 просмотров · 7 мес. назад
ladies, and gentlemen is love JDD tena Ooo! Kale kale sikatoto kafulani kale pale? Ama siyule yule? alishapata bwana yule pale Tumezimba mpaka na bimiti kumbe reski ni riziki Akiyapuwa siyo ya mdomo masikini tumejiponda na mpini mtoto wamwezako uyo mtoto wamwezako unakesha ukimuombeya baya uyo mtoto mwezako utakoma na bwako Kanaolawa kanapatabwana kalikuwa kamesha jiga olewa kanapata bwanakale kanaolewa kanatoka kwabo kashatowa trop mamimba olwaaah oh maneno yenyu kanapata bwana kanapata bwana maneno yenyu kanapata bwana kanapata bwana oh maneno yenyu maneno yenyu Tusha kazoweya kukaona kakiliyaliya Atujapenda kukaona kanapata furaha ooou ooou ooou yeeei yeeei yeeei Watu watu paliyawatu bora viatu Uku kwetu kwetu kuna watu wana roho za chatu wanapenda kuona ukipoteya ukiomba msahada unakoseya Ndunia wapi inaelekeya mbona viote niviakubakiya mtoto wamwezako uyo mtoto wamwezako unakesha ukimuombeya baya uyo mtoto mwezako utakoma na bwako Kanaolawa kanapatabwana kalikuwa kamesha jiga olewa kanapata bwanakale kanaolewa kanatoka kwabo kashatowa trop mamimba olwaaah oh maneno yenyu kanapata bwana kanapata bwana maneno yenyu kanapata bwana kanapata bwana oh maneno yenyu maneno yenyu Eyo Daniel59% Zalera marciale Mside dieumerci.