IBADA YA KUSIFU NA KUABUDU 28-08-2022
Gospel news
0:00 / 0:00
IBADA YA KUSIFU NA KUABUDU 28-08-2022
852 просмотра · 4 года назад
Gospel news
473 подписчика
852 просмотра · 4 года назад
Jumapili ya tarehe 28 Agosti T.A.G SONGEA REVIVAL CHURCH ilifanyika ibada ya kusifu na kuabudu ni Ibada ambazo hufanyika malamoja kwa mwezi kila jumapili ya mwisho wa mwezi huwa inafanyika ibada moja ya kusifu na kuabudu Hivyo basi kama wewe ni mwimbaji binafsi au unatamani kumtumikia MUNGU kwa uimbaji unakaribishwa sana kanisani hapo ili umtumikie MUNGU wako kwa nguvu zako