⚠️ Kwanini Watoto Hawaachi Tabia Mbaya? Zingatia Msingi Huu Muhimu wa Malezi!
NuurPath Hajj & Umrah
0:00 / 0:00
⚠️ Kwanini Watoto Hawaachi Tabia Mbaya? Zingatia Msingi Huu Muhimu wa Malezi!
80 просмотров · 6 дней назад
NuurPath Hajj & Umrah
116 подписчиков
80 просмотров · 6 дней назад
Katika darsa hii, tunaangazia Msingi wa 10 ambao ni Mzazi Kuwa Kiigizo Chema. Sheikh anafafanua kwa kina umuhimu wa mzazi kuwa wa kwanza kutekeleza yale anayowaamrisha watoto wake na kuwa wa kwanza kujiepusha na yale anayowakataza, pamoja na athari za kisaikolojia na kitabia zinazotokea pale mzazi anapokwenda kinyume na maneno yake.