Перейти к содержимому

Dondoo za ziara ya Bongo Zozo nchini Oman

Z Pemba News Agency

0:00 / 0:00

Dondoo za ziara ya Bongo Zozo nchini Oman

20 507 просмотров · 4 года назад
Z Pemba News Agency
7,61 тыс. подписчиков
20 507 просмотров · 4 года назад
Shabiki wa soka la Tanzania na raia wa Uingereza maarufu kwa jina la Bongo Zozo alikuwa na ziara nchini Oman kwa lengo la kuitangaza ligi yake ya Bongo Zozo kisiwani Pemba pamoja na mambo mengine kadhaa. Hapa tunawaletea muhtasari wa safari hiyo kama alivyojirokodi mwenyewe.