JINSI YA KUTENGENEZA CV | PART 3 | WORK EXPERIENCE
Technologist TV
0:00 / 0:00
JINSI YA KUTENGENEZA CV | PART 3 | WORK EXPERIENCE
118 просмотров · 1 месяц назад
Technologist TV
976 подписчиков
118 просмотров · 1 месяц назад
Katika video hii ya Part 3, tutajifunza jinsi ya kuandika sehemu ya Work Experience kwenye CV kwa njia ya kitaalamu na inayoeleweka.
Tutazungumzia:
Jinsi ya kuandika Job Position
Jinsi ya kuandika Company Name
Jinsi ya kuweka Employment Dates
Jinsi ya kuandika Duties and Responsibilities
Jinsi ya kutumia bullet points kuonyesha majukumu yako
Namna ya kupanga Work Experience ili CV yako ionekane professional
Sehemu ya Work Experience ni muhimu sana kwenye CV kwa sababu humsaidia mwajiri kuelewa uzoefu, uwezo na majukumu ambayo umewahi kuyafanya.
Kama unataka kujifunza zaidi kuhusu CV Writing, Microsoft Word, Computer Skills, ICT na Career Development, endelea kufuatilia Technologist TV.
Subscribe, Like, Comment and Share ili usikose Part zinazofuata.
#CVWriting #WorkExperience #TechnologistTV #CVTips #CareerDevelopment