Перейти к содержимому

Ndindi Nyoro amshutumu John Methu kwa kusaliti upinzani

Citizen TV Kenya

0:00 / 0:00

Ndindi Nyoro amshutumu John Methu kwa kusaliti upinzani

13 846 просмотров · 7 часов назад
Citizen TV Kenya
6,71 млн подписчиков
13 846 просмотров · 7 часов назад
Siasa za maneno zimeendelea ndani ya upinzani huku kinara wa People's Party Ndindi Nyoro akimfokea katibu mkuu wa chama cha DCP John Methu, akidai ndiye msaliti wa upinzani. Ndindi, aliyefanya mikutano ya kisiasa kaunti ya Kajiado akiandamana na naibu kinara wa Jubilee Fred Matiang’i, amedai Methu ana uhusiano wa karibu na Rais William Ruto na huenda roho yake haiko upinzani.