Перейти к содержимому

Mlima wa mapenzi ilioko Kilgoris kaunti ya Narok wavutia watalii

Citizen TV Kenya

0:00 / 0:00

Mlima wa mapenzi ilioko Kilgoris kaunti ya Narok wavutia watalii

45 936 просмотров · 3 г. назад
Citizen TV Kenya
6,7 млн подписчиков
45 936 просмотров · 3 г. назад
Kwa yeyote ambaye amewahi kuzuru maeneo ya Kilgoris katika kaunti ya Narok, mlima wa mapenzi ni mojawapo ya maeneo yanayozidi kuwavutia watalii. Wanamuziki na wapenda nao hufika hapa kutokana na mandhari yake na utulivu wa mazingira ya mlima huo.