Перейти к содержимому

SIRI ZA FAMILIA | Bongo Movie Mpya

​Zigwa Movie Empire

0:00 / 0:00

SIRI ZA FAMILIA | Bongo Movie Mpya

84 просмотра · 1 месяц назад
​Zigwa Movie Empire
1,44 тыс. подписчиков
84 просмотра · 1 месяц назад
Je, ni siri gani iliyojificha nyuma ya tabasamu la dada wa kazi? ​"Dada wa Kazi" ni filamu inayoelezea kisa cha kusisimua na chenye mafunzo makubwa ndani ya nyumba. Pale anapoingia binti wa kazi aliyebeba siri nzito, mambo yanaanza kubadilika kwa kasi: usaliti, fitina, mapenzi ya siri, na migogoro isiyo na mwisho! Je, mwenye nyumba ataigundua ukweli kabla mambo hayajaharibika kabisa? ​Tazama mkasa huu mwanzo hadi mwisho ujionee jinsi maisha ya familia yanavyoweza kupinduka kwa sababu ya mtu mmoja tu. ​Usisahau KU-SUBSCRIBE, LIKE, COMMENT, na KUSHARE ili kuendelea kupata filamu zaidi kutoka Zigwa Movie Empire!