Перейти к содержимому

Kama uliingia kwenye kazi hii ukidhani ni mahali pa kupumzika au kuchezewa, utakimbia mapema sana.

WanawakeLive Tv

0:00 / 0:00

Kama uliingia kwenye kazi hii ukidhani ni mahali pa kupumzika au kuchezewa, utakimbia mapema sana.

1 024 просмотра · 11 дн. назад
WanawakeLive Tv
101 тыс. подписчиков
1 024 просмотра · 11 дн. назад
Kazi ya ndani haina mchezo na haitaki wadhaifu—kwa sababu NJAA HAIBEMBELEZI na UMASKINI HAUOMBI RUHUSA! Kama uliingia kwenye kazi hii ukidhani ni mahali pa kupumzika au kuchezewa, utakimbia mapema sana. Kazi za ndani zinataka mikono yenye nguvu, akili timamu, na moyo wa chuma. Mambo ni mawili tu: Utulie, uvumilie ugumu, ufanye kazi ubadilishe maisha yako. Au ukimbie ugumu, urudi kule kule kwenye njaa inayokusubiri kwa hamu. Chagua moja! Hakuna njia rahisi ya kutokea kwenye umaskini bila kuvuja jasho. 📌🔨