Перейти к содержимому

WAITARA NA MAKONDA WATUNISHIANA MISULI BUNGENI - "KUNA MADUDU VIWANJA VYA AFCON"

Global TV Online

0:00 / 0:00

WAITARA NA MAKONDA WATUNISHIANA MISULI BUNGENI - "KUNA MADUDU VIWANJA VYA AFCON"

13 191 просмотр · 11 ч назад
Global TV Online
5,99 млн подписчиков
13 191 просмотр · 11 ч назад
WAITARA NA MAKONDA WATUNISHIANA MISULI BUNGENI - "KUNA MADUDU VIWANJA VYA AFCON" Mbunge Mwita Waitara na Waziri Paul Makonda wametunushiana misuli ndani ya Bunge kuhusu ujenzi na ukarabati wa viwanja vya AFCON (Benjamin Mkapa, Uhuru na Arusha). Waitara akiegemea ripoti ya Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG), ameibua madai mazito kuhusu upotevu wa fedha za walipakodi na usimamizi mbovu wa viwanja hivyo. Kwa upande wake, Paul Makonda ameingilia kati kwa kutoa taarifa kali akisisitiza kuwa Shirikisho la Mpira wa Miguu Afrika (CAF) linatambua ubora wa viwanja hivyo na kwamba Tanzania inakidhi viwango vyote vya kimataifa kuelekea AFCON 2027. #MwitaWaitara #PaulMakonda #BungeniDodoma #AFCON2027 #RipotiYaCAG #GlobalTVOnline ============================================================ ⚫️ JE, UNA HABARI? ⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE: ( +255 760 403894 or 255 719 401968) ⚫️ Email: globaltvonline.newsdesk@gmail.com