Перейти к содержимому

CHOZI LA MAUMIVU {Ep 01}

Gada Gang 350

0:00 / 0:00

CHOZI LA MAUMIVU {Ep 01}

450 просмотров · 6 дней назад
Gada Gang 350
578 подписчиков
450 просмотров · 6 дней назад
Movie hii, “CHOZI LA MAUMIVU,” ni kazi ya kisanii inayolenga kuelimisha na kugusa jamii kuhusu changamoto zinazoweza kuwakabili watoto ndani ya familia. Matukio yanayoonyeshwa kwenye movie hii ni sehemu ya simulizi la kubuni na yameandaliwa kwa madhumuni ya burudani na ujumbe wa kijamii. Hatukusudii kuhamasisha, kuhalalisha au kuunga mkono ukatili, unyanyasaji au mateso dhidi ya watoto. Watoto wanahitaji upendo, ulinzi na malezi bora.