DARSA 02. KWANINI IMAMU NAWAWI ALIITWA ABU ZAKARIYA HALI YA KUWA HAJAWAHI KUOA?
MARKAZ IRTHAN AL-ALAMI INTERNATIONAL
0:00 / 0:00
DARSA 02. KWANINI IMAMU NAWAWI ALIITWA ABU ZAKARIYA HALI YA KUWA HAJAWAHI KUOA?
2 просмотра · 2 дня назад
MARKAZ IRTHAN AL-ALAMI INTERNATIONAL
80 подписчиков
2 просмотра · 2 дня назад
Katika Darsa hii ya 02 ya kitabu cha AL-ARBAUN AN-NAWAWIYYAH, tutafahamu kwa kina na kwa dalili KWANINI Imam Muhyiddin Abu Zakariya Yahya bin Sharaf An-Nawawi ALIITWA ABU ZAKARIYA hali ya kuwa hajawahi kuoa na hakuzaa mtoto.
Je, ni desturi ya Waarabu kumpa mtu kuniyya hata kama hana mtoto? Au kuna siri nyingine nyuma ya jina hili?
Aidha, katika darsa hii tutayajua MAISHA YAKE KWA UJUMLA:
1. Kuzaliwa kwake Nawa na malezi yake
2. Jinsi alivyoanza kutafuta elimu akiwa na umri mdogo
3. Zuhdi na ibada yake na jinsi alivyokuwa akijitenga na anasa za dunia
Darsa muhimu sana kwa kila mwanafunzi wa elimu.
Mudarris: Abu Irthan Ramadhan Hussein Hassen
Markaz Irthan Al-Alami International
#AlArbaunAnNawawiyah #ImamNawawi #AbuZakariya #MarkazIrthan #DarasaZaKislamu