Перейти к содержимому

SHEIKH WALID AONGOZA DUA MAALUM KWA BUKENYA NA UZINDUZI WA MRADI WA BIASHARA

Bukobawadau Live

0:00 / 0:00

SHEIKH WALID AONGOZA DUA MAALUM KWA BUKENYA NA UZINDUZI WA MRADI WA BIASHARA

71 просмотр · 2 месяца назад
Bukobawadau Live
3,73 тыс. подписчиков
71 просмотр · 2 месяца назад
Matukio kutoka Kamachumu Muleba wakati Sheik wa Mkoa wa Dar es Salaam, Sheikh Walid Alhad Omar, alipozindua Rasmi Mradi mpyaJengo la Biashara linalomilikiwa na i AlhaJ Ibrahim Bukenya katika mji wa Kamachumu, wilayani Muleba. Uzinduzi huo uliokwenda sambamba na mapokezi ya ugeni kutoka nje ya Mkoa wa Kagera, ulifanyika Mwezi uliopita na kuhudhuliwa na Mashehe mbalimbali na Wanazuoni na mamia ya wakazi wa Kamachumu na Vitongoji jirani na Jengo hilo linatajwa kuwa kichocheo kipya cha uchumi na ajira kwa vijana Akizungumza wakati wa kukata utepe, Sheikh Walid Alhad alimpongeza Alhaj Bukenya kwa uamuzi wake wa kurejesha mitaji na uwekezaji nyumbani, hatua aliyoielezea kama mfano wa kuigwa na wazawa wengine. Kabla ya uzinduzi huo,Sheikh Walid aliongoza umati uliohudhuli kushirikii katika Dua Maalum ya familia iliyoandaliwa na Al hajj ibrahim Bukenya kwa ajili ya kuwaombea rehema Wazazi,wanafamiliana wote waliotangulia mbele ya haki na kuomba baraka za ustawi katika jamii #UzinduziMradi #Kamachumu#bukobawadaureflections #SheikhWalid#ustawiWaJamii