MSICHANA MGENI ALIYETIKISA SHULE NZIMA [ 01 ] Full love story ❤️❤️
EPPO SWAHILI MOVIES и EPPO SWAHILI PLUS
0:00 / 0:00
MSICHANA MGENI ALIYETIKISA SHULE NZIMA [ 01 ] Full love story ❤️❤️
36 902 просмотра · 12 дн. назад
EPPO SWAHILI MOVIES и EPPO SWAHILI PLUS
36 902 просмотра · 12 дн. назад
Karibu kwenye simulizi hii kali ya kusisimua Binti mrembo anapata nafasi ya kujiunga na shule maarufu ya kimataifa nchini Korea Kusini kwa lengo la kumfuata mpenzi wake. Lakini mambo yanabadilika ghafla anapowasili—kuingia kwenye bweni lisilo lake, hadi kujikuta anapendwa na wanafunzi wote na kuzua taharuki ya mapenzi na usaliti. Je, nini hatima ya penzi lake? Fuatilia mwanzo mwisho
👉 Endelea kuwa nasi kwa ajili ya Episode 2 hivi karibuni Usisahau kubonyeza Subscribe, Like, na kengele ya taarifa ili uwe wa kwanza kutazama mwendelezo wake mara tu unapowekwa🍿❤️
#SwahiliMovies #KdramaRecap #SimuliziZaMapenzi #SwahiliRecap