VILIO NA HUZUNI.... MIILI 32 IKIAGWA ARUSHA
Millard Ayo
0:00 / 0:00
VILIO NA HUZUNI.... MIILI 32 IKIAGWA ARUSHA
3 654 037 просмотров · 9 л. назад
Millard Ayo
6,2 млн подписчиков
3 654 037 просмотров · 9 л. назад
Miili ya watu 35 wakiwemo wanafunzi 32 wa Lucky Vicent waliopata ajali ya gari May 6, 2017 imeagwa leo May 8, 2017 ambapo Makamu wa Rais Samia Suluhu aliwaongoza watanzania kuiaga miili hiyo katika Uwanja wa Kumbukumbuku ya Sheikh Amri Abeid, Arusha.