Перейти к содержимому

NALIFURAHI WALIPONIAMBIA - KWAYA ZOTE ZA SINGIDA ZIKIIMBA KWA PAMOJA, SAUTI KAMA MALAIKA

Jugo Media Network

0:00 / 0:00

NALIFURAHI WALIPONIAMBIA - KWAYA ZOTE ZA SINGIDA ZIKIIMBA KWA PAMOJA, SAUTI KAMA MALAIKA

4 619 просмотров · 6 лет назад
Jugo Media Network
215 тыс. подписчиков
4 619 просмотров · 6 лет назад
Karibu mpenzi mtazamaji wa JUGO MEDIA, Tafadhari usisahau KUSUBSCRIBE, LIKE, COMMENT NA SHARE VIDEO HIZI. Leo tunakuletea nyimbo mbalimbali zilizoimbwa na Kwaya mbalimbali zilizopo katika Maeneo ya Manyoni Singida katika Tamasha lililoandaliwa na Parokia ya Kupaa Bwana, Manyoni Singida kwa ajili ya kuwakaribisha Kwaya ya Familia Takatifu kutoka Kanisa Kuu la Mtakatifu Yosefu Jimbo Kuu la Dar es Salaam ambayo ilikuwa inafanya ziara ya uinjilishaji jimboni singida. Tamasha hilo lilifanyika Jumapili Tarehe 26 January 2020 katika ukumbi wa Parokia hiyo. Tamasha hilo lilihusisha kwaya mbalimbali za Kikatoliki na ambazo sio za kikatoliki, orodha ya Kwaya hizo ni kama ifuatavyo, 1. Sauti ya Injili - Anglican Church 2. Kwaya ya Familia Takatifu DSM 3. Kwaya ya Mt. Gaspar Itigi 4. Kwaya ya Mtakatifu Gaspar Manyoni 5. Kwaya ya Kristo Mfalme Mwanzi 6. Kwaya ya Familia Takatifu Manyoni 7. Imani kwaya Anglican Church 8. Kwaya ya Mashahidi wa Uganda 9. Kwaya ya Kupaa Bwana Manyoni 10. Kwaya ya Uinjilisti KKKT Manyoni 11. Muimbaji Binafsi Daniel Ling'wentu Mawasiliano: JUGO MEDIA, Sokoine Drive, Posta P. O. BOX 34014, Dar es Salaam. For Bookings and other Enquiries Phone Number +255757560764/657790405