Перейти к содержимому

MADEREVA WA MABASI GEITA KUKATWA POINTI KWENYE LESENI PASUA KICHWA

Storm FM Geita

0:00 / 0:00

MADEREVA WA MABASI GEITA KUKATWA POINTI KWENYE LESENI PASUA KICHWA

206 просмотров · 4 дня назад
Storm FM Geita
2,03 тыс. подписчиков
206 просмотров · 4 дня назад
Madereva wa magari ya abiria mkoani Geita wameiomba serikali kuangalia upya sheria ya kukata pointi kwenye leseni za madereva pindi wanapokutwa na makosa wakiwa barabarani jambo ambalo linasababisha msongo wa mawazo kwa madereva na kupelekea ajali za mara kwa mara. Madereva hao wamewasilisha kero hiyo katika ofisini ya umoja wa madereva Tanzania (UWAMATA) wakieleza uwepo wa pointi nyingi za makosa ya barabarani pamoja na ufuagaji wa leseni za udereva imekuwa ikiathiri shughuli zao za usafirishaji.