Перейти к содержимому

KADOGOSA ASHTUKIZA MIZANI YA PUGE, TABORA ALICHOKIONA HIKI HAPA...

Daily News Digital

0:00 / 0:00

KADOGOSA ASHTUKIZA MIZANI YA PUGE, TABORA ALICHOKIONA HIKI HAPA...

5 654 просмотра · 9 ч назад
Daily News Digital
286 тыс. подписчиков
5 654 просмотра · 9 ч назад
Waziri wa Ujenzi, Masanja Kadogosa, amefanya ziara ya kushtukiza katika Mizani ya Puge, mkoani Tabora, na kubaini changamoto za mifumo ya mawasiliano kutosomana pamoja na kutokuwepo kwa kamera za ulinzi (CCTV). Kutokana na hali hiyo, Kadogosa amempa Meneja wa Mizani wa Wakala wa Barabara Tanzania (TANROADS), Eng. Mussa George, muda wa siku saba kuandaa na kumpatia mpango kazi wa kuimarisha usimamizi na ufuatiliaji wa mizani nchini. Aidha, amemtaka kuhakikisha mizani zote nchini zinaunganishwa katika mfumo mmoja wa mawasiliano na kufungwa kamera za CCTV ili kuwezesha ufuatiliaji wa karibu na kuboresha uwajibikaji katika utendaji wa mizani. Follow us on: FACEBOOK; SpotiLeo:   / spotileo-176.  . HabariLeo:   / habarileo   DailyNews:   / dailynewstz   INSTAGRAM; HabariLeo: https://instagram.com/habarileo_tz?ig... SpotiLeo: https://instagram.com/spotileo?igshid... TWITTER; Twitter HabariLeo: https://twitter.com/HabariLeo?s=09