Перейти к содержимому

Kiingereza cha mzee huyu wa kimasai ni noma, sikiliza akiielezea Ngorongoro

Azam TV

0:00 / 0:00

Kiingereza cha mzee huyu wa kimasai ni noma, sikiliza akiielezea Ngorongoro

592 873 просмотра · 5 лет назад
Azam TV
3,3 млн подписчиков
592 873 просмотра · 5 лет назад
Huyu ni mzee Clemence kutoka katika jamii ya Wamaasai anayeishi eneo la Kimba, nje kidogo ya Hifadhi ya Bonde la Ngorongoro @crater_ngorongoro akielezea historia ya bonde hilo kwa lugha ya kiingereza ‘kilicho nyooka’ hasa. Mzee Clemence mwenye miaka 73 pia amesimulia jinsi alivyoweza kujifunza lugha hiyo ya kigeni kutoka kwa mmoja wa watalii waliowahi kufika nchini, msikilize hapa… #HifadhiTanzania #UtaliiTanzania #Ngorongoro #AzamTVUpdates #AzamNews Tufuatilie kwenye mitandao mingine ya kijamii:- ►INSTAGRAM:   / azamtvtz   ►INSTAGRAM:   / azamsports2   ►TWITTER:   / azamtvtz   ►FACEBOOK:   / azamtvtz   ►WEBSITE: http://www.azamtv.co.tz