Перейти к содержимому

Cheki Aweso alivyowamwagia sifa wake zake bungeni

Mwananchi Digital

0:00 / 0:00

Cheki Aweso alivyowamwagia sifa wake zake bungeni

8 846 просмотров · 4 года назад
Mwananchi Digital
1,22 млн подписчиков
8 846 просмотров · 4 года назад
Leo wake zangu wote wawili wamekuja hapa kunipa ushirikiano, haya sio mapenzi ni mahaba mazito ninawapenda sana na mnaponiona ninachakarika ni kwasababu wa ukaribu na ushirikiano wao mkubwa ambao wananipa. Mimi Jumaa Aweso nitaendelea kuwapenda sana wake wangu,” amesema Waziri wa Maji, Jumaa Aweso alipokuwa akiwasilisha bungeni bajeti ya wizara ya Maji.