Перейти к содержимому

Angel Benard - KIU YANGU ( Official live video )

Angel Benard

0:00 / 0:00

Angel Benard - KIU YANGU ( Official live video )

10 110 просмотров · 14 часов назад
Angel Benard
267 тыс. подписчиков
10 110 просмотров · 14 часов назад
KIU YANGU . “Neno Moja nimelitaka kwa BWANA, Nalo ndilo nitakalolitafuta, Nikae nyumbani mwa BWANA Siku zote za maisha yangu, Niutazame uzuri wa BWANA, Na kutafakari hekaluni mwake.” Zab 27:4 SUV I pray ya kwamba utakapokuwa ukisikiliza wimbo huu, kisima chako cha ibada kitibuliwe, mafuta ya furaha na nguvu ya kuendelea na wokovu izidi sana ndani yako. I pray that, kila pale ulipooza kwa habari ya kumuinulia Mungu ibada; pahuishwe na kufufuliwa tena. Sifa zisikauke maishani mwako. Ufurahie zawadi ya wokovu na pendo alilotuonesha Kristo kwa kufanyika sadaka iliyotukomboa. Nakuombea mwisho mwema, Mungu akiwa wa kwanza kuliko chochote kile. Ubarikiwe sana na Utunzwe na Bwana . Song writter : Angel Benard Audio production : @sammboya @masanjafrester Videographer: @spvisual Label: Africa Gospel Zone. KAMA AYALA AYATAMANIVYO MAJI, NDIVYO MOYO WANGU NA ZAIDI WAKUTAMANI…..