MWAMINI NA MAISHA YA UTOAJI - REV: E S MUNISI 02/9/2026
SautikuuTvOnline
0:00 / 0:00
MWAMINI NA MAISHA YA UTOAJI - REV: E S MUNISI 02/9/2026
267 просмотров · Трансляция закончилась 1 месяц назад
SautikuuTvOnline
34 тыс. подписчиков
267 просмотров · Трансляция закончилась 1 месяц назад
Katika kizazi hiki ambacho mafundisho potofu kuhusu utoaji wa sadaka na mafungu ya kumi yameenea kwa kasi, wengi wamejikuta wakipoteza mwelekeo wa kweli wa Neno la Mungu. Wapo wanaodai kuwa fungu la kumi ni fundisho la Agano la Kale pekee, na hivyo halina nafasi katika Agano Jipya.
Katika semina hii ya siku nane, Mchungaji Munisi anafungua maandiko kwa kina na kutanabaisha fundisho sahihi kuhusu utoaji, akifichua ukweli ambao umefichwa na tafsiri zisizo sahihi za maandiko.
Fuatana nasi katika safari hii ya kiroho ya kufumbua ukweli, kurejesha msingi wa Neno, na kujenga ufahamu sahihi kuhusu sadaka, utoaji, na mafungu ya kumi katika maisha ya Mkristo wa leo