❤️ UMRI wa Wasanii na WAPENZI wao 2026 | Nani Ana Tofauti Kubwa Zaidi?
Mzigotv
0:00 / 0:00
❤️ UMRI wa Wasanii na WAPENZI wao 2026 | Nani Ana Tofauti Kubwa Zaidi?
7 926 просмотров · 3 месяца назад
Mzigotv
1,94 тыс. подписчиков
7 926 просмотров · 3 месяца назад
Je, umewahi kujiuliza mastaa wa Bongo wana miaka mingapi na wapenzi wao wana miaka mingapi? 😍🔥
Kwenye video hii tumekusanya umri wa baadhi ya wasanii, waigizaji na mastaa wa Bongo pamoja na wapenzi au wenza wao na kuangalia tofauti ya umri kati yao.
Kutoka kwa Diamond Platnumz, Zuchu, Juma Jux, Priscilla, Wema Sepetu, Whozu, Vanessa Mdee, Rotimi, Barnaba, Hamisa Mobetto, Aziz Ki, Navy Kenzo na wengine wengi… nani ana tofauti kubwa zaidi ya umri? 😱❤️
Tazama hadi mwisho na utuambie kwenye comments:
Ni couple gani imekushangaza zaidi? 👇
👍 Like
🔔 Subscribe
📢 Share na marafiki
#Bongo #WasaniiWaBongo #BongoFleva #UmriWaMastaa #DiamondPlatnumz #Zuchu #JumaJux #WemaSepetu #HamisaMobetto #NavyKenzo #BongoMovie #Tanzania