Перейти к содержимому

AFYA YA AKILI KILIO DUNIANI | WANAHABARI MBEYA WAFUNDWA KUZINGATIA MAADILI YA TAALUMA YA HABARI.

HABARIKA LEO TV

0:00 / 0:00

AFYA YA AKILI KILIO DUNIANI | WANAHABARI MBEYA WAFUNDWA KUZINGATIA MAADILI YA TAALUMA YA HABARI.

74 просмотра · 2 нед. назад
HABARIKA LEO TV
203 подписчика
74 просмотра · 2 нед. назад
Waandishi wa habari wametakiwa kuacha kuripoti habari za chuki badala yake wazingatie weledi na miiko ya kazi za uandishi wa habari ili kuepuka migogoro inayoepukika. Hayo yameelezwa Dkt Raymond Mgeni ambaye ni daktari wa kitengo cha afya ya magonjwa ya akili kutoka hospitali ya rufaa ya kanda Mbeya ambaye ametoa mafunzo ya afya ya akili, changamoto ya afya ya akili na magonjwa ya akili kwa waandishi wa habari ameshauri wanahabari wanapopitia changamoto wazitatue kewa utulivu. CUE IN...............................DKT. RAYMOND MGENI GABRIEL Mkufunzi Hospitali ya Rufaa ya Kanda Mbeya Kwa upande wake mkufunzi wa mafunzo ya usalama kwa waandishi wa habari wawapo kazini kutoka umoja wa klabu za waandishi wa habari Tanzania UTPC Gabriel Mbwile kando ya mafunzo hayo ambayo yamefanyika mkoani Mbeya Nao baadhi ya waandishi wa habari akiwemo Josephat Semba na Margoreth Mpepo wanaeleza umuhimu wa mafunzo hayo. CUE IN...............................JOSEPHAT SEMBA Mwandishi wa Habari CUE IN...............................MARGORETH MPEPO Mwandishi wa Habari Mafunzo hayo ambayo yameandaliwa na umoja wa klabu za waandishi wa habari Tanzania UTPC yana lengo la kuwasaidia waandishi wa habari kujitambua kuhusu afya ya akili changamoto ya afya ya akili na ugonjwa wa akili ili kuepusha migogoro katika jamii migogoro ambaye inaweza kuleta madhara.