Перейти к содержимому

AZIM DEWJI ATANGAZA KUJIONDOA BODI YA SIMBA IKIIKANDA YANGA BAO 2-1: INAENDESHWA WANAVYOTAKA WAO ...

Mwananchi Digital

0:00 / 0:00

AZIM DEWJI ATANGAZA KUJIONDOA BODI YA SIMBA IKIIKANDA YANGA BAO 2-1: INAENDESHWA WANAVYOTAKA WAO ...

3 600 просмотров · 1 дн. назад
Mwananchi Digital
1,23 млн подписчиков
3 600 просмотров · 1 дн. назад
Mfadhili wa zamani wa klabu ya Simba, Azim Dewji, amesema leo ataandika barua ya kujiuzulu kutoka katika Bodi ya Wakurugenzi ya klabu hiyo ili awe huru kuitetea Simba. ‎ ‎Dewji amesema kuwa akiwa ndani ya bodi hiyo, inakuwa vigumu kwake kuzungumza kwa uhuru kuhusu masuala ya klabu hiyo. Ameeleza akishajiondoa, ataweza kuitetea Simba bila vikwazo kutokana na nafasi yake ndani ya bodi. ‎ ‎Kauli hiyo ameitoa baada ya Simba kuibuka na ushindi wa mabao 2-1 dhidi ya watani wao wa jadi, Yanga, katika mechi ya Ligi Kuu Tanzania Bara iliyopigwa Oktoba 10, 2026. #samiasuluhuhassan #simbasc #yangasc #mashabiki #nbcpremeireleague #cafchampionsleague #cafconfiderationcup #ikulumawasiliano #entertainment #music #news #yangasc #simbasc #cafchampionsleague #mayele #highlights #cafconfiderationcup #riversunited #mashabiki #yangaleo #yanga #timuyawananchi #daimambelenyumamwiko #entertainment #music #news #magoliyasimba #magoliyayanga #magoliyote #magoliyamayele #mayele #aziziki #manara #manaraleo #ikulumawasiliano #magufuli #kikwete #mayele #singidabigstars #magoliyamayele #magoliyasimba #magoliyayanga #highlights #azamsportsfederationcup #chama #Shot #mamelodisundowns #alahlytv #alahlysc #miraj