Перейти к содержимому

Hifadhi za Jumuiya za Wanyamapori zenye Ushirikiano wa Kuigwa

PORI TV ONLINE

0:00 / 0:00

Hifadhi za Jumuiya za Wanyamapori zenye Ushirikiano wa Kuigwa

2 225 просмотров · 3 года назад
PORI TV ONLINE
1,34 тыс. подписчиков
2 225 просмотров · 3 года назад
Jumuiya ya Hifadhi ya Wanyamapori Enduimet imekua na ushirikiano wa muda mrefu na Hifadhi za Wanyamapori za Amboseli na Olgulului kutoka nchini Kenya ambapo ushirikiano huu umezaa matunda makubwa hasa kwenye upande wa kudhibiti ujangiri wa uvamizi wa wanyamapori na biashara haramu za mipakani