Перейти к содержимому

Aya za Tahadhari kwa wake wa mtume ﷺ Baada ya Vita vya Ahzab -- Imaam Abdallah.

Masjid Islamia Kibada

0:00 / 0:00

Aya za Tahadhari kwa wake wa mtume ﷺ Baada ya Vita vya Ahzab -- Imaam Abdallah.

64 просмотра · 4 дня назад
Masjid Islamia Kibada
103 подписчика
64 просмотра · 4 дня назад
Baada ya Mtume ﷺ kushinda vita vya Ahzab na kupata mali nyingi, wake zake walimwomba vitu vilivyo nje ya kipato chake. Tukio hili lilimpelekea Mtume ﷺ kukasirika na kushuka aya za tahadhari zinazowatahadharisha wanawake wanaopenda dunia na kuacha akhera. Video hii inaleta mafunzo ya Qur’an na historia ya maisha ya Mtume ﷺ nyumbani kwake.