Перейти к содержимому

Gilbert Godfrey .Zaidi ya Wimbo.

Gilbert Godfrey Tz

0:00 / 0:00

Gilbert Godfrey .Zaidi ya Wimbo.

601 просмотр · 3 месяца назад
Gilbert Godfrey Tz
86 подписчиков
601 просмотр · 3 месяца назад
Shaloom, Karibu sana Tumuabudu Mungu kupitia ibada hii! Mungu wetu ni zaidi ya vile tunavyo muimba, Yeye nizaidi ya maombi tuombayo ,Ni zaidi ya mawazo Yetu, Yuko juu sana .Juu yake hakuna juu nyingine ,Yuko juu ya mwisho. Aliumba vitu vyote kwa uwezo wake ,na kwamapenzi yake vyote vimepata kuwepo. Mungu wetu ni Mungu halisi. kipekee sana namshukuru Mungu kwa kunipa nafasi ya kumuabudu kupitia Ibada hii. karibu Tumuabudu hautabaki kama ulivyo.