Перейти к содержимому

SIRI YA MAYAI MENGI, MFUMO BORA NA RAHISI WA KUFUGA KUKU WA MAYAI KIBIASHARA | Kilimopro

KilimoPro Tanzania

0:00 / 0:00

SIRI YA MAYAI MENGI, MFUMO BORA NA RAHISI WA KUFUGA KUKU WA MAYAI KIBIASHARA | Kilimopro

895 просмотров · 3 нед. назад
KilimoPro Tanzania
12 тыс. подписчиков
895 просмотров · 3 нед. назад
Katika video hii, tunaangalia kwa vitendo ufugaji wa kuku wa mayai kwa mfumo wa cage, pamoja na mambo muhimu yanayosaidia kuongeza uzalishaji wa mayai na kuboresha ufanisi wa shamba. Utajifunza kuhusu: ▪︎Mfumo bora wa cage kwa kuku wa mayai ▪︎Ulishaji na upatikanaji wa maji ▪︎Usimamizi wa kuku wanaotaga ▪︎Ukusanyaji na utunzaji wa mayai ▪︎Usafi na afya ya kuku ▪︎Namna ya kuongeza uzalishaji na faida ya biashara Endelea kufuatilia KilimoPro Tanzania kwa maarifa, teknolojia na mbinu bora za kilimo na ufugaji. Subscribe, Like, Comment & Share Wasiliana nasi +255 715 866 027 #KukuWaMayai #UfugajiWaKuku #Mayai #LayerFarming #PoultryFarming #KilimoProTanzania #Kilimo #Ufugaji #AgricultureTanzania