Kilimo bora cha mahindi-Uwekaji mbolea ya kukuzia.
Agri Digital
0:00 / 0:00
Kilimo bora cha mahindi-Uwekaji mbolea ya kukuzia.
7 364 просмотра · 5 лет назад
Agri Digital
1,04 тыс. подписчиков
7 364 просмотра · 5 лет назад
Inashauriwa kuweka gram 5-10 kwenye kila mche, Chunguza dalili za mmea kabla ya kuweka mbolea ili ujue ni mbolea gani hasa inatakiwa.
NB:Usiweke mbolea mahindi yakianza/yaliyo chanua, mahindi yakishafikia kuchanua hayahitaji tena mbolea.