JEFTA MASAKA - MAJIBU ( OFFICIAL VIDEO )
Jefta Masaka
0:00 / 0:00
JEFTA MASAKA - MAJIBU ( OFFICIAL VIDEO )
2 745 просмотров · 3 дня назад
Jefta Masaka
605 подписчиков
2 745 просмотров · 3 дня назад
“MAJIBU” ni wimbo wa unabii, imani, tumaini na kumtumaini Mungu katika kila hali ya maisha.
Kuna nyakati tunalia, tunaomba na kusubiri majibu. Lakini Mungu husikia kilio cha watu wake. Kuchelewa kwa jibu siyo kukataliwa; Mungu ana wakati wake na wakati wake ndiyo huu umefika.
📖 “Hakika nimeyaona mateso ya watu wangu... nami nimekisikia kilio chao... maana nayajua maumivu yao; nami nimeshuka ili niwaokoe.”
— Kutoka 3:7–8
Wimbo huu ni ukumbusho kwako: Usikate tamaa. Endelea kuamini. Mungu bado anasikia, na MAJIBU yamekuja. 🙏🏽🔥
🙏🏽 Kama wimbo huu umekubariki, LIKE, COMMENT, SHARE & SUBSCRIBE.
CREDITS
🎤 Artist: Jefta Masaka
🎼 Written by: Jefta Masaka
🎬 Video Director: Adomu Elly
🎥 Video Production: CCWC media
📸 Photography: CCWc media
🎚️ Mixing & Mastering: Aloyce Andrew (MIXMAN)
🔊 PA: BH sound
🎹 Backline: JONTROS SOUND PIANOS(Rolands , MODX)
📍 Venue: CCWC Morogoro
Connect with Jefta Masaka:
• Whatsapp Number: +255652899839
• Instagram: Jefta Masaka
• TikTok: Jefta Masaka
• Facebook: Jefta Masaka
• YouTube: Jefta Masaka
• Email: masakajephtah@gmail.com