Pastor Kamgisha // Kushinda Siku ya Uovu
HABARI NJEMA
0:00 / 0:00
Pastor Kamgisha // Kushinda Siku ya Uovu
44 просмотра · 4 дн. назад
HABARI NJEMA
10,7 тыс. подписчиков
44 просмотра · 4 дн. назад
KUSHINDA SIKU YA UOVU
Leo ni siku ya kusimama, kupigana vita vya imani, na kushinda kwa nguvu za Kristo.
→ Usikubali siku ya uovu iamue hatima yako.
→ Simama katika Kristo.
→ Shinda kwa Imani. Shinda kwa Neno. Shinda kwa Neema.
Katika Ibada hii; tunasimama katika Neno la Mungu, tunaimarishwa katika imani, na kujifunza namna ya kusimama imara katika siku ya uovu.
→ Usikose sehemu hii ya maombi na mafundisho.
→ Fungua moyo wako kwa Neno la Mungu.
→ Ruhusu uwepo wa Mungu ubadilishe maisha yako na kukuelekeza katika njia yake.
Tazama hadi mwisho, omba kwa imani, na mshirikishe mwingine.
📌 SHIRIKI IBADA HII:
👍 Like | 💬 Comment | 🔔 Subscribe | ↗️ Share
🔔 SUBSCRIBE kwenye channel hii na uwashe 🔔 ili usikose mafundisho, maombi, ibada na vipindi vingine.
#Maombi #Maombezi #Prayer #Christianity #Jesus #HolySpirit #Deliverance #Revival #Worship #Faith #Bible #Gospel #KingdomOfGod #UtawalaWaMungu #Uamsho #Ibada #NguvuYaMaombi #LivePrayer #Miracle #Breakthrough