OTHMAN MASOUD AAPISHWA KUWA MAKAMU WA RAIS ZANZIBAR
VOA Swahili
0:00 / 0:00
OTHMAN MASOUD AAPISHWA KUWA MAKAMU WA RAIS ZANZIBAR
19 058 просмотров · 5 лет назад
VOA Swahili
339 тыс. подписчиков
19 058 просмотров · 5 лет назад
Makamu wa Kwanza wa Rais wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar, Othman Masoud Othman ameapishwa leo katika Ikulu ya Zanzibar kushika wadhifa huo baada ya kifo cha Maalim Seif sharif Hamad na kuahidi kuendeleza misingi ya maridhiano visiwani humo.#DL #VOA