MVUTANO WAZIDI KULIPUKA! WAHOUTH WAIITA HATUA YA MISRI DHIDI YAO TANGAZO LA VITA—JE, KULIKONI?
Focus News Tanzania Tv 1
0:00 / 0:00
MVUTANO WAZIDI KULIPUKA! WAHOUTH WAIITA HATUA YA MISRI DHIDI YAO TANGAZO LA VITA—JE, KULIKONI?
605 просмотров · 13 ч назад
Focus News Tanzania Tv 1
22 тыс. подписчиков
605 просмотров · 13 ч назад
MVUTANO WAZIDI KULIPUKA! WAHOUTH WAIITA HATUA YA MISRI DHIDI YAO TANGAZO LA VITA—JE, KULIKONI?
Afisa mwandamizi wa kisiasa wa kundi la Wahouthi nchini Yemen, Mohammad Ali Houthi, ameonya kuwa uamuzi wa Bunge la Misri kuidhinisha msaada wa kijeshi kwa Saudi Arabia unaweza kuchukuliwa kuwa ni sawa na kutangaza vita dhidi ya kundi hilo.
Onyo hilo linakuja wakati mataifa mbalimbali katika eneo la Mashariki ya Kati yakiongeza juhudi za kidiplomasia kutafuta njia za kupunguza mvutano na kuimarisha usalama wa kikanda, kufuatia kuongezeka kwa wasiwasi kuhusu mashambulizi ya Wahouthi dhidi ya Saudi Arabia.
#focusnewstanzaniatv1 #houthi #iran #yemen #yangasc #simba