Перейти к содержимому

DW Kiswahili Habari za Ulimwengu | 15.09.2026 | Jioni | Swahili Habari leo | Podcast

DW Kiswahili

0:00 / 0:00

DW Kiswahili Habari za Ulimwengu | 15.09.2026 | Jioni | Swahili Habari leo | Podcast

5 629 просмотров · Трансляция закончилась 9 часов назад
DW Kiswahili
334 тыс. подписчиков
5 629 просмотров · Трансляция закончилась 9 часов назад
Katika Dunia Yetu Leo Jioni: -Wafuasi wa vyama vya upinzani wameandamana leo katika miji kadhaa ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo kupinga mpango wa kuifanyia marekebisho katiba ya nchi hiyo. -Katika kuadhimisho Siku ya Kimataifa ya Demokrasia, ripoti za mashirika mbalimbali zimeonyesha demokrasia barani Afrika ipo kwenye mtihani mkubwa. -Na Mji wa Nairobi nchini Kenya umeandika historia kwa kuchaguliwa kuandaa Mashindano ya Dunia ya Riadha mwaka 2029. #dwkiswahili #DWSwahili #HabariLeo #RipotiNaUchambuzi #TaarifaYaHabari #DWKiswahiliJioni #DWKiswahiliPodcast /Ukitaka kupata habari zetu kila siku, bonyeza 'follow' kwenye chaneli yetu ya DW Kiswahili.