Перейти к содержимому

UNAPOKEA ZAWADI GANI KUTOKA KWA NANI?? // KUKATAA SIO DHAMBI

SIRI ZA BIBLIA

0:00 / 0:00

UNAPOKEA ZAWADI GANI KUTOKA KWA NANI?? // KUKATAA SIO DHAMBI

12 223 просмотра · 3 года назад
SIRI ZA BIBLIA
194 тыс. подписчиков
12 223 просмотра · 3 года назад
Zawadi nyingi sana huja katika nyakati za uhitaji,na ndiyo maana watu wengi wamejikuta wanaanguka na kuharibu makusudi ya Mungu ndani ya maisha yao sababu ya kusikiliza sauti ya uhitaji wao badala ya kutambua nyuma ya zawadi kipindi cha uhitaji kuna nini nyuma yake. 2 Wafalme 5:26,27 26 Akamwambia, Je! Moyo wangu haukuenda na wewe, hapo alipogeuka yule mtu katika gari ili akulaki? Je! Huu ndio wakati wa kupokea fedha, na kupokea mavazi, na mashamba ya mizeituni, na mizabibu, na kondoo, na ng'ombe, na watumwa, na wajakazi? 27 Basi ukoma wa Naamani utakushika wewe, na wazao wako hata milele. Naye akatoka usoni pake mwenye ukoma kama theluji. Maarifa ya Ki-Mungu @SIRI ZA BIBLIA www.sirizabiblia.com +255 758 708 804 https://linktr.ee/sirizabiblia Instagram Account   / siri_za_biblia   SADAKA YAKO YA KUCHANGIA INJILI IFIKE MBALI ZAIDI: M-PESA +255 758 708804 INNOCENT MASHAURI CRDB ACC: 0152523574100 INNOCENT LEONARD MASHAURI