Перейти к содержимому

KWANINI WATU WAKIMYA HAWANA MARAFIKI WENGI?

WANU TV

0:00 / 0:00

KWANINI WATU WAKIMYA HAWANA MARAFIKI WENGI?

5 057 просмотров · 1 г. назад
WANU TV
4,38 тыс. подписчиков
5 057 просмотров · 1 г. назад
Watu wakimya mara nyingi huonekana kama wasio na marafiki, lakini sababu ni zaidi ya vile unavyofikiri. Katika video hii, tunachambua sababu kuu kwa nini watu wakimya huwa na marafiki wachache – kuanzia utu wao wa ndani hadi namna wanavyojieleza kwa wengine. Ikiwa wewe ni mkimya au unamfahamu mtu wa aina hii, hii video ni kwa ajili yako. tags #watuwakimya #marafikiwachache #psychology #intorverts #tabiazakibinadamu #siri #wakimya #watu #kimya #marafiki #introvertlife #kiswahili #elimu #usihukumu