Daniel Mushi - Tenzi Medley (Official Audio)
Daniel Mushi🎵
0:00 / 0:00
Daniel Mushi - Tenzi Medley (Official Audio)
464 просмотра · 6 дней назад
Daniel Mushi🎵
712 подписчиков
464 просмотра · 6 дней назад
Tenzi Medley ni mkusanyiko wa tenzi za kumwabudu, kumsifu na kumtukuza Mungu. Kupitia nyimbo hizi, tunakumbushwa juu ya ukuu wa Mungu, wema wake, uaminifu wake na upendo wake usiokoma.
Tunakuomba unapoisikiliza Tenzi Medley, usisikilize kwa masikio pekee, bali fungua moyo wako mbele za Mungu. Na nyimbo hizi ziwe sehemu ya ibada yako, maombi yako na shukrani zako kwake.
“Neno la Kristo na likae kwa wingi ndani yenu... mkifundishana na kuonyana kwa zaburi na nyimbo na tenzi za rohoni, huku mkimwimbia Mungu kwa neema mioyoni mwenu.”
Wakolosai 3:16
🙏 Mwimbieni Bwana. Msifuni kwa moyo wote. Mtukuzeni katika kila hali.
Ikiwa wimbo huu umekuwa baraka kwako, SHARE na wengine ili nao washiriki katika ibada.
🔔 SUBSCRIBE kwenye channel hii kwa nyimbo zaidi za sifa na ibada.
#TenziMedley #DanielWorshiper #TenziZaKuabudu #SifaNaIbada #NyimboZaKikristo #GospelMusic #Worship #SwahiliGospel