Перейти к содержимому

NYIKA official video- The Endtimes Pilgrim Ministers- RUSDA || Choir Contact: 0716794999

Endtimes Pilgrims Ministers Rongo

0:00 / 0:00

NYIKA official video- The Endtimes Pilgrim Ministers- RUSDA || Choir Contact: 0716794999

23 793 просмотра · 1 год назад
Endtimes Pilgrims Ministers Rongo
1,29 тыс. подписчиков
23 793 просмотра · 1 год назад
ISAIAH 35:1 Nyika na mahali palipo ukiwa patafurahi; jangwa litashangilia na kuchanua maua kama waridi. Litachanua maua mengi, na kufurahi, kwa shangwe na kuimba; litapewa uzuri wa Lebanoni, utukufu wa Karmeli na Sharoni; watauona utukufu wa Bwana. Ukuu wa Mungu wetu. Itieni nguvu mikono iliyo dhaifu, yafanyeni imara magoti yaliyolegea. Waambieni walio na moyo wa hofu, jipeni moyo msiogope; tazama, Mungu wenu atakuja na kisasi, na malipo ya Mungu; atakuja na kuwaokoa ninyi. Ndipo macho ya vipofu yatafumbuliwa, na masikio ya viziwi yatazibuliwa. Ndipo mto aliye kilema ataruka-ruka kama Kulungu, na ulimi wake aliye bubu utaimba; maana katika nyika maji yatabubujika; na vijito jangwani Tusijefadhaika japo machungu yatukabili, yanayotufanya tukavunjike moyo. Kwa kuwa tuna rafiki anayeelewa shida zetu wakati wote. Marafiki wanapokutoroka jipe Moyo ndugu yangu. Si kitambo mkombozi atakuja kukunusuru upate farijiko. Yeye Bwana wa adhama.